
Muonekano wa ukumbi wa bunge ambako Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba mjini Dodoma. Picha na Muhidin Issa Michuzi.
---
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete ameamua kuvunja Bunge Maalum la Katiba kutokana na mambo yanayoendelea.
Kwa mujibu wa habari zilizofikia dawati letu zinasema rais amechukua maamuzi hayo kutokana na kuona mwenendo mbovu wa Bunge, hivyo linavunjwa kuanzia leo April Mosi kwa muda usiojulikana.
Kaa mkao wa kula maana rais atafanya mchujo na kufanya usajili mpya wa wabunge wa bunge maalum la katiba.
Kaa mkao wa kula maana rais atafanya mchujo na kufanya usajili mpya wa wabunge wa bunge maalum la katiba.


Teh teh teh teh teh kweli duniani kuna mambo!!!wadau mnikumbushe vizuri hivi si wajumbe wako kikazi zaidi katika zile kamati 12 mpaka ijumaa kwa mujibu wa mwenyekiti????kama hujui usichangie maana.... ha ha ha ha hii siku naifananisha vile na .....kwa heli.
ReplyDeleteAAH ILIKUWA CIKU YA WASIIONA AAH CIKU YA ..... AKILI YA KUAMBIWA CHANGANYA NA ZA POPO KWA HERI
ReplyDelete