Wananchi wa mji wa Bangamoyo wakimvusha mgonjwa katika moja ya Daraja la barabara ya Bagamoyo Msata ambayo kwa sasa imejaa maji kutokana na mvua zinazoendelea.

 Wananchi wakivushwa.... kwa gharama ya ths. 1000 ukibebwa 2000

 Wanancho wengine wakiwa wamebebwa mgongoni kwa gharama ya tsh. 2,000 kuvushwa darajani hapo....
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: