Magari Mapya aina ya Toyota  Yakiwa Manispaa ya Kinondoni leo mara baada ya kukabidhiwa.
 Gari mpya aina ya Landcruiser ikiwa Ofisi ya manispaa ya Kinondoni.
 Mstahiki Meya Yussuph Mwenda akiongea na Vyombo vya habari Leo mara baada ya kukabidhiwa magari hayo.
Meya wa Kinondoni Yussuph Mwenda akikabidhi funguo kwa mmoja wa madereva
---
Manispaa ya Kinondoni imenunua magari kumi (10) hard top na double cabin, Magari hayo yanayo gharimu kiasi cha Tshs. 779 milioni ikiwa ni mapato ya chanzo cha ndani ili kuboresha huduma za Mipango miji, elimu, ustawi wa jamii, afya, mapato pamoja na usimamizi wa miradi ya maendeleo . Magari haya yatasaidia sana kuleta maendeleo na vilevile kukuza mapato ya ndani. kwa pamoja tunajenga lipa kodi kwa maendeleo ya Kinondoni.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: