Makamu  wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akizindua rasmi mkutano Mkuu wa mwaka wa Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu Tanzania (NIMR) na kongamano na Wanasayansi wataifi. Kongamano hilo lililofanyika kwenye Ukumbi wa Mwalimu Nyerere, jijini Dar es Salaam, limeandaliwa na Taasisi hiyo ya (NIMR).
 Mkurugenzi wa NIMR, Dk. Mwele Malecela akizungumza wakati wa ufunguzi wa mkutano huo.
 Sehemu ya Wanasayansi Watafiti wakifuatilia utafiti huo.
 Mkurugenzi wa NIMR, Dk. Mwele Malecela akimsaidia Makamu wa Rais, Dk. Mohamed Gharib Bilali kufungua moja ya mikakati aliyoizindua.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.
Mohammed Gharib Bilal, akionesha vitabu alivyozinfua vya Mpango wa Mkakati wa Nne
wa Utafiti Bora wa Afya,
Makamu wa Rais, Dk Mohamed Gharib Bilali akimkabidhi tuzo ya Mwanasayansi Bora wa mwaka kitaifa wa masuala ya afya, kwa Dk. Steven Magesa (kulia) wakati wa mkutano Mkuu wa mwaka wa Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu Tanzania (NIMR) na kongamano na Wanasayansi wataifi ulioanza jana Dar es Salaam. Katikati ni Mwenyekiti wa Baraza la NIMR, Samwel Masele.

Makamu wa Rais, Dk Mohamed Gharib Bilali akimkabidhi Tuzo ya Mvumbuzi Bora wa Mwaka Kitaifa, Dk. William Kisinza (kulia) wakati wa mkutano Mkuu wa mwaka wa Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu Tanzania
(NIMR) na kongamano na Wanasayansi wataifi ulioanza jana Dar es Salaam. Katikati ni Mwenyekiti wa Baraza la NIMR, Samwel Masele.
 Makamu wa Rais, Dk Mohamed Gharib Bilali akimkabidhi tuzo ya Mwanasayansi Bora wa mwaka wa Afrika wa masuala ya afya, kwa Prof. Wenceslaus Kilama (kulia) wakati wa mkutano Mkuu wa mwaka wa Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu Tanzania (NIMR) na kongamano na Wanasayansi wataifi ulioanza jana Dar es Salaam. Katikati ni Mwenyekiti wa Baraza la NIMR, Samwel Masele.
 Makamu wa Rais, Dk Mohamed Gharib Bilali (wapili kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Washindi wa tuzo za Mwanasayansi Bora wa mwaka kitaifa wa masuala ya afya, kwa Dk. Steven Magesa (kushoto) Mwanasayansi Bora wa mwaka wa Afrika wa masuala ya afya, Prof. Wenceslaus Kilama (wapili kushoto) na Tuzo ya Mvumbuzi Bora wa Mwaka Kitaifa, Dk. William Kisinza (kulia) wakati wa mkutano Mkuu wa mwaka wa Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu Tanzania (NIMR) na kongamano na Wanasayansi wataifi ulioanza leo Dar es Salaam.
Baadhi ya Wafanyakazi wa NIMR katika picha ya pamoja na mgeni rasmi.
 Picha na viongozi mbalimbali.
Meza kuu ikiwa katika picha ya Pamoja na Makamu wa Rais, Kutoka kulia ni Ni Mkurugenzi wa NIMR, Dk. Mwele Malecela, Makamu wa Rais, Dk. Mohamed Gharib Bilali, Naibu Waziri wa Afya, Dk. Kebwe Steven Kebwe na Mwenyekiti wa Baraza la NIMR, Samwel Masele.
Mkutano wa 28 wa Taasisi ya Taifa ya utafiti wa Magonjwa ya Binadamu Tanzania (NIMR) umeanza leo jijini Dar es Salaam na kufanyika kwa siku tatu katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC) unafanyika sambamba na na Kongamano la Wanasayansi watafiti barani Afrika.
 Mtafiti Mkuu na Mkurugenzi wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano  kutoka Taasisi ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu,  Leonard Mboera  akiwasilisha moja ya tafiti walizofanya kuhusiana na ugonjwa wa malaria kwa nchi za Ukanda wa jangwa la Sahara.
 Baadhi ya wa tafiti wanasayansi kutoka nchi mbalimbali wakifuatilia uwasilishaji wa trafiti mbalimbali

 Mtafiti Mkuu na Mkurugenzi wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano  kutoka Taasisi ya 
Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu Dr. Leonard Mboera akiendelea kuwasilisha.

 Watafiti wakifuatilia mada hizo.
 Mkurugenzi wa Vector Control Operations, Dr. Steven Magesa akichangia mada.
Mkurugenzi Mkuu wa Zamani wa NIMR, Dr. Andrew Kitua akichangia mada.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: