Mkoko wa Babu wa Loliondo "Mwasapile"
Nyumba ya zamani ya Babu "Mwasapile" wa Loliondo
Mjengo mpya wa Babu "Mwasapile" ,kweli kila mtu hapa duniani anahitaji maisha mazuri kama haya....
Babu akiwa ndani ya Nyumba mpya, tiles zinaonekana zikiwaka kwa mbali..."ila bado watu wanahitaji utabiri au maono mengine ili ununue hata Chopa Moja" ombi langu kwa Babu. Picha kwa hisani ya mzee wa Arushaaaa.... Gadiora wa Wazalendo25 Blog.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: