Mkuu wa Mipango na Uboreshwaji wa mitandao kutoka Tigo Bi. Halima Idd akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa tawi jipya la Tigo Kigamboni mapema leo. Kulia ni Meneja wa Huduma kwa Wateja Bw. Charles Gardner na Meneja wa tawi la Kigamboni Bi. Mariam Mandia
Wateja wa kampuni ya simu ya Tigo wakitazama bidhaa za simu zinazopatikana katika tawi jipya la Tigo liliofunguliwa mapema leo Kigamboni. Tawi hilo lina uwezo wa kuhudumia watu 300 na zaidi kwa siku.
Wakazi wa Kigamboni wakipata huduma ya kuunganishiwa intaneti kutoka kwa Afisa wa Vifurushi vya Data Tigo Bw. Augustino Garani.
Mteja akiuliza swali kuhusu huduma za tawi jipya la Tigo iliyofunguliwa mapema leo Kigamboni.

Toa Maoni Yako:
0 comments: