Ajali ya Mwendesha pikipiki akiwa amegongwa na gari eneo la mataa ya Uhasibu, Kurasini jijini Dar, kutokea kwa ajali hiyo kulisababishwa na mwendesha pikipiki alikatisha wakati askari wa barabarani akiongoza magari yaliyokuwa yakitokea bandarini kuelekea Uwanja wa Taifa ndipo bodaboda alipokatisha na kukutana uso kwa uso na gari aina ya Toyota Passo ambayo ilimgonga na kwenda kuvaa taa ya kuongozea magari.
Gari ikiwa hoi baada ya kumgonga mwendesha bodaboda.

Mmiliki wa gari akiongea na wananchi waliofika eneo la tukio.
Mwendesha boda boda akiwa amepakozwa kwenye gari kuwahishwa hospitali ya temeke kwa matibabu. Picha zote na Imani Ntila wa Kajunason Blog.


Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: