Habari zilizolifikia dawati la Kajunason Blog toka nchini Afrika Kusini ambapo alikuwa amelazwa Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Dkt. Sengodo Mvungi (Pichani) amefariki katika hospitali ya MillPark alipokuwa akiendelea kupatiwa matibabu.
Inakumbukwa kuwa mnamo Novemba 13, 2013 Dk. Mvungi alijeruhiwa kwa kukatwa na mapanga kichwani akiwa nyumbani kwake Kibamba Msakuzi, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam na kulazwa Taasisi ya Mifupa ya Muhimbili (Moi) na baadaye kuhamishiwa Hospitali ya Milpark, Johannesbarg, Afrika Kusini.
Dk. Mvungi alipatwa na umauti hayo leo mnamo majira ya Saa Tisa na Nusu.
Mungu ailaze Roho ya Marehemu Mahali Pema Peponi.
TAARIFA ZAIDI ENDELEA KUSOMA KAJUNASON BLOG ITAKUPATIA MENGI ZAIDI...

Toa Maoni Yako:
0 comments: