Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Airtel Tanzania, Betrice Singano Mallya akiongea katika mkutano na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa makubaliano ya kufanya kazi pamoja baina ya Airtel na Benki ya Posta Tanzania kwa kutoa huduma za kifedha pamoja. Pembeni ni Kaimu Mtendaji Mkuu Jema Msuya na Meneja Mkuu Kitengo cha Mitandao ya Simu wa Benki ya Posta Tanzania, Mshama Mshama. Mwingine ni Meneja Operesheni Airtel Money, John Ndunguru.
Kaimu Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania, Jema Msuya akiongea katika mkutano na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa makubaliano ya kufanya kazi pamoja baina ya Airtel na Benki ya Posta Tanzania kwa kutoa huduma za kifedha pamoja pembeni ni Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Airtel Tanzania, Betrice Singano Mallya. Pembeni ni Kaimu Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania, Jema Msuya na Meneja Mkuu Kitengo cha Mitandao ya Simu wa Benki ya Posta Tanzania, Mshama Mshama. Mwingine ni Meneja Operesheni Airtel Money, John Ndunguru.
Kaimu Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania, Jema Msuya na Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Airtel Tanzania, Betrice Singano Mallya wakibadilishana mkataba wa makubaliano kutoa huduma za kifedha pamoja baina ya Airtel Tanzania na Benki ya Posta Tanzania. Wanaoshuhudia pembeni ni Meneja Mkuu Kitengo cha Mitandao ya Simu wa Benki ya Posta Tanzania, Mshama Mshama na Meneja Operesheni Airtel Money, John Ndunguru.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: