Bokhe akikata keki kama ishara ya kusherehekea siku ya kuzaliwa kwake katika hafla fupi ya chakula cha jioni iliyofanyika Kebbys Hotel Mwenge jijini Dar es salaam jana ambapo alijumuika na marafiki zake pamoja na baadhi ya ndugu zake.
Bokhe akipozi kwa picha katika hafla ya kuzaliwa kwake iliyofanyika jana
Hapa akimlisha keki rafiki yake Sinta
Hapa akimlisha keki ndugu yake Getu
Akimlisha keki ndugu yake Winnie
Akimlisha keki rafiki yake Sauda wa Nguvu
Getu akipozi kwa picha
Story kidogo kabla ya kukata keki
Sauda akiwa na Box yake ya Juice tayari kwa kuondoka
Sauda wa Nguvu akipozi kwa picha
Bokhe akiwa na Winnie kushoto na Sauda katika picha
Bokhe kulia Winnie Kushoto na Getu wakipozi kwa picha
Bokhe na Getu wakipuzi kwa picha
Bokhe na rafiki yake Sinta wakipozi kwa picha
Bokhe akifurahi na marafiki zake

hyo sintah na hyo miwani inahusu???au kulikuwa na movie ya kushoot??
ReplyDelete