Baadhi ya wasanii wakiwa kwenye kazi za vikundi kwa majadiliano zaidi juu ya semina semina ya wasanii wa sanaa za maigizo, filamu, muziki, uchoraji na ngoma za asili jijini Dar es Salaam wakiwa kwenye semina iliyoandaliwa na Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) kwa wasanii juu ya umuhimu wa wao kushiriki katika mchakato wa uundaji Katiba Mpya na kutumia kazi zao katika kupinga vitendo vya ukatili wa kijinsia.
Picha mbalimbali juu ni baadhi ya wasanii wanaoshiriki Semina ya wasanii wa sanaa za maigizo, filamu, muziki, uchoraji na ngoma za asili jijini Dar es Salaam wakiwa kwenye kazi za makundi za majadiliano. Semina hiyo imeandaliwa na Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) kwa wasanii juu ya umuhimu wa wao kushiriki katika mchakato wa uundaji Katiba Mpya na kutumia kazi zao katika kupinga vitendo vya ukatili wa kijinsia. Baadhi ya wasanii wa sanaa za maigizo, filamu, muziki, uchoraji na ngoma za asili jijini Dar es Salaam wakiwa kwenye semina. Baadhi ya wasanii wa jijini Dar es Salaam wakifuatilia mada anuai zinazowasilishwa kwenye semina hiyo. Baadhi ya wasanii wa jijini Dar es Salaam wakifuatilia mada anuai zinazowasilishwa kwenye semina hiyo. Baadhi ya wasanii wa jijini Dar es Salaam wakifuatilia mada anuai zinazowasilishwa kwenye semina hiyo iliyoandaliwa na Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP). Baadhi ya watoa mada kwenye semina hiyo wakijadiliana jambo. Mmoja wa watoa mada katika semina hiyo, Kenny Ngomuo (kulia mbele) kutoka TGNP akizungumza katika semina hiyo. Kutoka kulia ni baadhi ya waratibu wa semina hiyo kutoka TGNP wakiwa na wasanii wa jijini Dar es Salaam wakifuatilia mada anuai zinazowasilishwa kwenye semina hiyo iliyoandaliwa na Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP). Mmoja wa wasanii hao akiwasilisha mada ya kundi lao katika semina iliyoandaliwa na Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) kwa wasanii juu ya umuhimu wa wao kushiriki katika mchakato wa uundaji Katiba Mpya na kutumia kazi zao katika kupinga vitendo vya ukatili wa kijinsia. Mkuu wa kitengo cha habari na uhusiano wa TGNP, akizungumza katika semina hiyo iliyofanyika makao makuu ya TGNP Mabibo Dar es Salaam Picha ya pamoja ya washiriki wa semina ya wasanii wa sanaa za maigizo, filamu, muziki, uchoraji na ngoma za asili jijini Dar es Salaam wakiwa kwenye semina iliyoandaliwa na Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) kwa wasanii juu ya umuhimu wa wao kushiriki katika mchakato wa uundaji Katiba Mpya na kutumia kazi zao katika kupinga vitendo vya ukatili wa kijinsia.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: