Moja ya kichuguu wanachotumia kufyatulia matofali.
  Matofali yakiwa yameanikwa baada ya kufywatuliwa.
Kila mmoja akiwabusy.
Msimamizi wa vijana hao akikagua kazi inavyokwenda.
Moja ya vijana walionipa morali ni vijana wa kijiji cha Ibambo, Kata ya Mwongozo, Wilaya ya Urambo, Tabora wao wameamua kujiajiri kwa kufatua matofari na kuyauza. Ambapo kwa tofari moja wao huwa wanauza kwa shilingi 100. Na kijana mmoja anauwezo wa kufyatua matofari yapatayo 300 mpaka 400 kwa siku.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: