Mkurugenzi Mkuu wa Tigo Tanzania Bw. Diego Guiterrez akizungumza na waandishi wa habari na wageni walikwa (hawapo pichani) katika hafla ya uzinduzi wa tawi jipya kwa wateja la Tigo lililofunguliwa Masaki, Dar es Salaam mapema leo.
3. Mkurugenzi Mkuu wa Tigo Tanzania Bw. Diego Guiterrez (wapili kutoka kulia) akimkabidhi kadi maalum yakujipatia huduma kwa wateja Bw. Juma Bajwala katika hafla ya uzinduzi wa tawi jipya la huduma kwa wateja la Tigo lililofunguliwa Masaki, Dar es Salaam mapema leo.
 Mkurugenzi Mkuu wa Tigo Tanzania Bw. Diego Guiterrez (wapili kushoto) katika picha ya pamoja na wateja wa mara kwa mara wa Tigo waliozawadiwa kadi maalum yakujipatia huduma kwa wateja katika hafla ya uzinduzi wa tawi jipya la huduma kwa wateja la Tigo lililofunguliwa Masaki, Dar es Salaam mapema leo. Kutoka kushoto wateja hao ni Bw. Juma Bajwala, Bw. John Mkali na Bw. Abubakar Nyamba. Kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Huduma kwa Wateja. Bw. Zaem Khan.
Mkurugenzi Mkuu wa Tigo Tanzania Bw. Diego Guiterrez (kushoto) akizungumza na wafanyakazi wa Tigo tawi jipya ya huduma kwa wateja lilizozinduliwa Masaki, Dar es Salaam mapema leo.
Mkurugenzi Mkuu wa Tigo Tanzania Bw. Diego Guiterrez (kushoto) akiangalia baadhi ya bidhaa za Tigo katika uzinduzi wa tawi jipya ya huduma kwa wateja Masaki, Dar es Salaam mapema leo.
10. Wafanyakazi wa Huduma kwa Wateja wa Tigo wakiimba nyimbo ya “Tigo we are happy to serve you, Together we Smile” katika uzinduzi wa tawi jipya ya huduma kwa wateja Masaki, Dar es Salaam mapema leo.
Mkurugenzi Mkuu wa Tigo Tanzania Bw. Diego Guiterrez katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa Tigo kutoka idara ya huduma kwa wateja baada ya uzinduzi wa tawi jipya ya huduma kwa wateja Masaki, Dar es Salaam mapema leo.
Maandhari ya uzinduzi wa tawi jipya la huduma kwa wateja wa Tigo Masaki, Dar es Salaam mapema leo.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: