Ilikuwa ni piga nikupige na kukuta kipa wa timu ya Rhino ya Tabora inayomilikiwa na JWTZ kuanguka chini na kuumia. Katika mpambano huo timu ya Yanga ilishindwa akufurukuta na kujikuta inatoka sale ya 0 - 0 katika mpambao wa kirafiki uliofanyika uwanja wa Ali Hasani Mwinyi mjini Tabora wakati  YANGA walipokwenda kutembeza kombe lao la ushindi wa Ligi kuu msimu 2013/2014.
 Mashabiki waliojitokeza kwa wingi.
Mchezaji machachali wa timu ya Rhino akijaribu kuutuliza mpira.
 Kocha wa Timu ya Yanga akitoa maelezo kwa wachezaji wake.
 Mchezaji wa timu ya ly kutoka Tabora akimpeleka puta mchezaji wa Yanga.
 Kila mmoja akitaka kuchukua mpira.
 Wapigapicha wa mkoani Tabora wakiwa wamejipanga.
 Kipa wa Yanga akiudaka mpira kwa madaha.
 Mapumziko timu ikienda kubadilishana mawazo.
 Kombe la YANGA la ushindi wa Ligi kuu msimu 2013/2014 likitembezwa uwanja wa Ali Hasani Mwinyi, Tabora.
Mashabiki walioingia mwishoni, wao huwaitwa waliofunguliwa bureeeeeee wakiwa wametanda uwanjani kumalizia kuangalia mpambao.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: