Mkali wa muziki wa bongfleva toka mji kasoro bahari, Morogoro Selemani Msindi kwa jila la kujitafutia ugali anaitwa Afande Sele The'King, amekiponda chama cha Mpira Tanzania kwa kusema ni genge la walanguzi. Maneno hayo ameyaandika katika ukurasa wake wa mtandao wa jamii (facebook).
"Bongooo, wachambuzi, makocha mbuzi na tunaojiita 'watu wa mpira' tupo kibao lakini... TFF ni genge la masomjo (Walanguzi) No mipango/malengo bali maneno tu". Aliandika Afande kwenye ukurasa wake wa mtandao wa jamii (facebook).
Toa Maoni Yako:
0 comments: