

Kati ya sababu zingine, ni watu kutozingatia faida za usafi wa mazingira katika kampeni hiyo Mrisho Mpoto na kundi lake la mjomba Bendi wanashirikiana kwa pamoja na Wizara ya Afya na Ustawi wa jamii, kushoto ni Mariam Mahamudu Afisa Afya, Mazingira Wizara ya Afya na Ustawi wa jamii , Kampeni hiyo itaanza na mikoa ya Dodoma, Mara, Njombe, Rukwa na Tanga kabla ya kuendelea mikoa mingine Mariam Mahamudu Afisa Afya, Mazingira Wizara ya Afya na Ustawi wa jamii akizungumza katika mkutano huo kuzungumzia kuhusu kampeni hiyo, kulia ni Mrisho Mpoto Mkurugenzi wa Mjomba Band.
Kundi zima la mjomba band likiwa katika mazoezi makali katika makao makuu ya kundi hilo Kinondoni Mkwajuni.
Wakionyesha vitu vyao katika mazoezi hayo
Mrisho Mpoto akiimba katika mazoezi hayo ili kujiweka sawa kwa ajili ya kampeni hiyo kulia ni msanii wa kundi hilo anayejulikana kama Mbagala na katikati ni Mwimbaji wa kundi hilo Ismail.



Toa Maoni Yako:
0 comments: