Pichani katikati mwenye Kaunda suti ni Col. Mrangila, kwa sasa ndio Mkuu wa Ubalozi, aliyeshikilia koti ni Magesa, Mkuu wa msafara wa TPA, wa kwanza kushoto ni Mwasswe Mwambata Msaidizi wa Kijeshi na wa mwisho kulia ni Mchani Mwambata wa kiuchumi, wengine pichani ni maafisa wakuu vitengo vya TPA idara za TEHAMA na Mipango.

Maafisa wa Bandari wako Rwanda kubadilishana ujuzi namna ya kurahisisha biashara kwa kutumia Teknolojia ya Habari na MAwasiliano (TEHAMA), pia walitembelea wadau wa biashara Rwanda Kama Mamlaka ya Mapato Rwanda, Shirika la Viwango Rwanda, Chama Cha Mawakala  wa Mizigo Rwanda n.k. Hivi karibuni Tanzania itaanza kutumia mfumo wa kufanya biashara kielectroniki kupitia Bandari na maeneo yote ya kuingia na Kutoka nje. Wadau kuweni Tayari….!!!!
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: