Habari kutoka bungeni ni kwamba matokeo yote ya kidato cha nne yamefutwa na yatasahihishwa upya haraka iwezekanavyo...
Taarifa ya tume iliyoundwa na waziri mkuu kuchunguza sababu za kufeli vibaya kwa watahiniwa wa kidato cha nne imesomwa bungeni leo na Mh.Lukuvi.
 
Mh. Lukuvi amesema sababu zilizosababisha wanafunzi wafeli ni upungufu wa waalimu, mazingira magumu a kufundishia, idadi kubwa ya shule za sekondari iliyopelekea idadi kubwa ya watahiniwa na utaratibu mbovu wa baraza la mitihani uliotumika bila kuwashirikisha wadau wa elimu.
 
Mh.Lukuvi amesema kuwa NECTA haikufuata vigezo vya kuwafaulisha wanafunzi kwa kufuata STANDARDIZATIONS na CONTINOUS ASSESSMENTS.
 
Na haya ndiyo mapendekezo ya kamati ilikuwa umeundwa.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: