Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Ramadhan Khijjah(kushoto) na Balozi wa Japan nchini Masaki Okada (kulia) wakibadilishana hati ya makubaliano ya mkopo wa shilingi bilioni 54.13 jana jijini Dar es salaam kwa ajili ya kuendeleza kilimo cha umwagiliaji mpunga hapa nchini. Wilaya 80 zinazolima mpunga zinatarajiwa kunufaika na mkopo huo kwa kujenga miundo mbinu mipya na kukarabati ya zamani.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Ramadhan Khijjah(kushoto) na Balozi wa Japan nchini Masaki Okada (kulia) wakisaini hati ya makubaliano ya mkopo wa shilingi bilioni 54.13 jana jijini Dar es salaam kwa ajili ya kuendeleza kilimo cha umwagiliaji mpunga hapa nchini. Wilaya 80 zinazolima mpunga zinatarajiwa kunufaika na mkopo huo kwa kujenga miundo mbinu mipya na kukarabati ya zamani.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Ramadhan Khijjah (kushoto) akifafanuzi umuhimu wa ujenzi wa miundombinu mipya ya kilimo cha umwagiliaji mpunga hapa nchini jana jijini Dar es salaam mara baada ya kusaini hati ya mkopo wa shilingi bilioni 54 kwa ajili ya kuendeleza zao la mpunga. Kulia ni Balozi wa Japan nchini Masaki Okada. Wilaya 80 zinazolima mpunga zinatarajiwa kunufaika na mkopo huo kwa kujenga miundo mbinu mipya na kukarabati ya zamani.

Picha na MAELEZO- Dar es salaam
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: