
Miss
Tanzania 1999, Hoyce Temu (kushoto) akizungumza na warembo wanaotarajia
kushiriki katika shindano la Redd's Miss Kigamboni 2013, wakati
alipowatembelea kwenye kambi yao ya mazoezi jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki. Shindano hilo linatarajia kufanyika Juni 7 mwaka huu
kwenye Ukumbi wa Navy Beach Kigamboni.
Toa Maoni Yako:
0 comments: