Mama Tunu Pinda akiwa anasoma risala kwa waumini wa Kanisa la TAG kabla ya kuzindua dvd picha zote na Chris Mfinanga
Mama Tunu Pinda akiwa anaonyesha DVD yenye jina la Mungu Wetu Halinganishwi iliyo imbwa na kwaya ya Kanisa la Tag Mwenge wanaoshuhudia ni kulia kwa Mama Pinda ni Mchungaji kiongozi Abdiel Mhini kulia mwenye kilemba ni Mchungaji Grace Mainoya anayefuatia ni Askofu wa jimbo la Mashariki Kaskazini Spear Mwaipopo Mama Tunu Pinda alikuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa Dvd hiyo iliyoizindua leo. Picha na Chris Mfinanga.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: