JITEGEMEE ALUMNAE REUNION itakafanyika kesho Ijumaa tarehe 26.4.2013 pale pale Jitegemee JKT sekondari ya Jijini Dar es Salaam kuanzia saa 2 asubuhi na kuendelea kutakuwa na michezo yote, kuvuta kamba, kukimbiza kuku! Basket ball, Voleyball, Football, pia kukumbushiana enzi kutakuwa na kwata la hiari, msosi na vinywaji vyote, burudani kutoka kwa wasanii waliowahi kusoma Jitegemee akiwemo mh Temba na Wanaume TMK, Sogy Dogy, Mabaga Fresh na wengine wengi, kwa mchango wako wa shilingi elfu 5 tu getini- coordinator Antu Mandoza na Wasiwasi Mwabulambo wakishirikiana na kamati ya Jitegemee ikiongozwa na Mkuu wa Shule, Martin Mkisi kwa udhamini wa Clouds Fm na PrimeTime Promotions.
Home
Unlabelled
MH. TEMBA, SOGGY DOGY NA MABAGA FRESH KUIPAMBA JITEGEMEE ALUMNAE REUNION
Subscribe to:
Post Comments (Atom)




Toa Maoni Yako:
0 comments: