Mkuu wa Mkoa wa Bukoba, Fabian Masawe ambaye alishawahi kuwa mkuu wa shule ya sekondari ya Jitegemee (JKT) (mwenye suti) akiwa na mwalimu mkuu wa shule hiyo kwa sasa Martin Mkisi katika hafla ya 'JITEGEMEE ALUMNAE REUNION'iliyofanyika shuleni hapo jijini Dar es Salaam.
Wanafunzi wakitoa burudani.
Burudani ikiwa imenoga...
Wanafunzi wa Jitegemee (JKT) Sekondari wakifuatilia.
Mkuu wa shule ya sekondari ya Jitegemee (JKT) Martin Mkisi akiongea machache katika hafla ya 'JITEGEMEE ALUMNAE REUNION' iliyofanyika shuleni hapo jijini Dar es Salaam.
Wanafunzi ambao walishawahi kusoma shule ya sekondari ya Jitegemee (JKT) 'JITEGEMEE ALUMNAE REUNION' wakifurahi pamoja.
Wanafunzi ambao walishawahi kusoma shule ya sekondari ya Jitegemee (JKT) 'JITEGEMEE ALUMNAE REUNION' wakifurahi pamoja.
Mkuu wa Mkoa wa Bukoba, Fabian Masawe ambaye alishawahi kuwa mkuu wa shule ya sekondari ya Jitegemee (JKT) akiongea machache.
Wanafunzi wakiwa tayari kusubiria burudani.
 Msanii wa muziki wa kizazi kipya ambaye alishawahi kusoma shuleni hapo, Mhe. Temba akitoa burudani kwa wanafunzi wenzake.
 Msanii wa kizazi kipya, Chiddy Benz nae hakuwa nyuma kutoa burudani.
 Salamu zikiendelea...
 
 Wanafunzi wazamani walijitokeza kuwapa burudani ya kutosha.
 Shangweeeeeeeee....
 Wasimamizi wa shughuli hiyo, Antu Mandoza na Wasiwasi Mwabulambo wakiweka mambo sawa.
 Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Bibi Cheka akiwapa burudani wajukuu zake.
 Show love toka shule ya sekondari Jitegemee.
 ...dj Oscar akiwasha moto....
...disco likiwa limenoga...
 ...shangwe na vigeregere
 ...duh! kumbe hata shule mambo haya yapo...
 
 ...wacha niwape mambooooo
 ...kuserebuka kulikuwepo
show ya kukata na mundu...
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: