Mwanadada Leah Mushi akiwa katika maadhimisho ya Miaka 49 tangu kuundwa kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kuanzishwa rasmi uhusiano wa Kudiplomasia na Ushirikiano wa Kindugu kati ya Jamhuri ya Watu wa China na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Keki ya maadhimisho ya Miaka 49 tangu kuundwa kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kuanzishwa rasmi uhusiano wa
Kudiplomasia na Ushirikiano wa Kindugu kati ya Jamhuri ya Watu wa China
na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Picha zote na Leah Mushi - China.




Toa Maoni Yako:
0 comments: