Mtaalam wa bidhaa za burudani za Tigo Bi. Pamela Shelukindo (kushoto) akimkabidhi
bw. Meritus Ishaballu kamera ya digitali yenye thamani ya shilingi 800,00
aliyojishindia kwenye promosheni ya Burudani na Tigo.
Mtaalam wa bidhaa za burudani za Tigo Bi. Pamela Shelukindo
akimkabidhi bw. Harold Hosea kamera ya digitali yenye thamani ya shilingi 800,000 aliyojishindia kwenye promosheni ya Burudani na Tigo.
Promosheni ya Burudika na Tigo mtumiaji anatakiwa kutuma neno SHINDA, MAWILI, MAPENZI, AKIBA, na IMANI kwenda 15655 anakuwa ameingia kwenye droo ambayo atajishindia kamera ya digitali yenye thamani ya shilingi 800,000.
Toa Maoni Yako:
0 comments: