Msanii Walter Chilambo akiwarusha roho wakazi wa jiji la Dar, katika Ziara ya kuzindua nyimbo za wasanii walioshiriki shindano la kuimba la Epiq BSS imeendelea tarehe 1 mwezi wa tatu, ijumaa ya wiki hii katika ukumbi wa Maisha Club Dar ambapo wasanii wote walioingia kumi bora.
 Mambo yakiwa yamepamba moto.
Aha! kukiwa kumenoga.
Mashuhuda wa onyesho hilo wakifuatilia kwa makini.
Burudani ya kutosha.
Furaha ilitawala.

Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: