Tangazo, Tangazo, Tangazo yeyote anayehitaji bidhaa azionazo katika picha, awasiliane na dada Joyce kwa email ili aelekezwe zilipo. Bidhaa zenyewe ni Canon A 2200 14, 1 MB, 4X zoom, 6.8sm (2,7 inches) LCDscare, 28mm wide angels lens, 720p HD film bei ni 250,000 kwa anayehitaji anaweza kuwasiliana kwa email joymathew-87@live.se kamera zinatoka Sweden ila zinapatikana Tanzania.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: