Uhuru Kenyatta (TNA) 1,833,687  (50.11%)
Raila Odinga (ODM) 1,393,000 (41.00%)
Kwa jinsi hali ilivyokuwa, wataalamu wa mambo ya siasa, wanabashiri kuwa kuna uwezekano mkubwa wa Uchaguzi huo kwenda raundi mbili kutokana na jinsi wanavyokabana kwa karibu katika kuelekea kupatikana rais wa Kenya mwaka 2013.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: