Bondia Maneno Osward kushoto akipambana na Japhert Kaseba wakati wa mpambano
wao wa ubingwa wa taifa uliofanyika jumamosi katika ukumbi wa DDC Magomeni Kondoa Kaseba alishinda kwa point mpambano huo.
Bondia Japhert Kaseba kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana masumbwi na Maneno Osward wakati wa mpambano wao wa kugombea ubingwa wa taifa Kaseba alishinda kwa point.

Bondia Japhert Kaseba kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana masumbwi na Maneno Osward wakati wa mpambano wao wa kugombea ubingwa wa taifa Kaseba alishinda kwa point.

Bondia Japhert Kaseba akinyooshwa mkono juu na refarii Antoni Ruta baada ya kuibuka mshindi kwa kumgalagaza Maneno Osward.
Bondia Aliphonce Mchumiatumbo kushoto akioneshgana uwezo wa kutupiana masumbwi na Josephe Marwa mpambano wa uzito wa juu uliofanika jumamosi Mchumiatumbo alishinda kwa K,O raundi ya siti.

Bondia Putile Gama kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana masumbwi na Tom Kato kutoka Japani anaeishi mjini Bagamoyo Kato alishinda kwa K,O raundi ya pili.

Bondia Aliphonce Mchumiatumbo kushoto akioneshgana uwezo wa kutupiana masumbwi na Josephe Marwa mpambano wa uzito wa juu uliofanika jumamosi Mchumiatumbo alishinda kwa K,O raundi ya siti.
Bondia Tom Kato kulia  kutoka Japani anaeishi mjini Bagamoyo akioneshana umwamba wa kutupiana masumbwi na Putile Gama Kato alishinda kwa K,O raundi ya pili. Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: