Bw. Andrew Mahiga akicheza mchezo wa foosball na wageni waalikwa katika hafla ya uzinduzi wa michuano ya Foosball inayoendeshwa na kampuni ya Heineken Tanzania. Hafla hiyo ilifanyika jana jijini Dar es Salaama ambapo michuano hiyo itafanyika katika baa tofauti za jijini Dar.
Meza inayochezwa mchezo wa foosball.
Warembo waliopamba uzinduzi huyo wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kumaliza kazi yao ya kukaribisha wageni katika hafla ya Heineken Tanzania.
Wageni
waalikwa wakicheza mchezo wa Foosball katika hafla ya uzinduzi wa
michuano ya Foosball inayoendeshwa na kampuni ya Heineken Tanzania.
Washindi wa mchezo wa Foosball, miiliki wa baa ya Triniti Bw. Jackie Verwey (kulia), Erica wakiwa pamoja na Mkurugenzi wa Heineken Tanzania, Bw. Uche Unigwe mara baada yakushinda uzinduzi wa mashindano ya mchezo wa Foosball.
This was a fantastic day for All Heineken Users in Dar...Such an experience and a good feeling...
ReplyDeleteAfter a success at JACKIES,and DIDIZ, Kesho its gonna be biiiiigg at CORNER BAR SINZA AFRICA SANA....YEEEESSS! We can go as far as it takes....CORNER BAR HERE WE COME.....See you there....#Team HEineken...This is Seth Katende aka Seth De Jesus Giovanni