Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Angela Kairuki akiongea na akinamama wajasiriamali wakati wakisherekea siku ya Wanawake Dunia ambayo iliendana na kongamano la maonyesho ya biashara zao iliyofanyika jijini Dar es Salaam.
Akinamama wajasiriamali wakifuatilia maongezi ya Mhe. Kairuki.
   Mhe. Kairuki akikagua bidhaa zinazouzwa na akinamama wajasiriamali katika sherehe ya siku ya Wanawake Duniani waliyoifanya tar 9 kwa kufanya kongamano na maonyesho ya biashara zao.
  Mhe. Naibu waziri Kairuki akicheza mziki na akinamama wajasiriamali.
Mhe. Kairuki akiwa katika picha ya pamoja na kamati ya maandalizi ya sherehe hiyo ya akinamama wajasiriamali.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: