Mikono Media tunakukaribisha wewe na mpenzi wako ujumuike nasi Alhamis ijayo, tarehe 14 Mwezi huu, kusherehekea siku Maalum ya Wapendanao (Valentine's Day) kwenye ukumbi wa JB Belmont Hotel. Pata chakula cha usiku, muziki murua wa Live Band na mandhari nzuri kabisa kwa ajili yako wewe na mpenzi wako, bila kusahau ugeni maalum kutoka kwa Bw. Chris Mauki atakayetuelimisha zaidi kuhusu kujenga mahusiano imara ya kimapenzi. Kiingilio ni Tsh 100,000/= kwa mtu na mpenzi wake (couple) kuanzia saa 12 jioni.

Fanya booking mapema, piga simu namba 0717 109362.

Wahi sasa nafasi ni chache!
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: