Kanda wa polisi kanda maalumu ya Dar es Saalam Suleiman Kova
akijiandaa kudaka mpira ikiwa ni ishara ya uzinduzi wa michuano ya
Mpinga Cup inayowahusisha waendesha pikipiki maarufu kama Bodabado
inayoanza rasmi leo kwa muda wa wiki moja. Mpinga cup imedhaminiwa na
Airtel , Rotary Club, Mr price na Shoprite ikiwa na lengo la kutoa
elimu ya usalama barabarani kwa waendesha pikipiki na kupunguza ajali
barabarani . akishuhudia kushoto ni Mkuu wa kikosi cha Usalama
barabarani SACP. Mohamed Mpinga.
Mkuu wa kikosi cha Usalama barabarani SACP. Mohamed Mpinga akikagua
timu kabla ya mechi kati ya Kawe Tiptop na Manzese leo wakati wa
uzinduzi wa michuano ya Mpinga Cup, anayefata pichani ni Meneja Uhusiano
wa Airtel Jackson Mmbando.
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum, Seleman Kova akikagua timu wakati wa
uzinduzi wa michuano ya Mpinga Cup inayowahusisha waendesha pikipiki
maarufu kama Bodabado inayoanza rasmi leo kwa muda wa wiki moja.
Michuano hii imeanza rasmi kwa mechi kati ya Kawe Tiptop na Manzese
anayefata pichani ni Mkuu wa kikosi cha Usalama barabarani SACP.
Mohamed Mpinga.
Kikosi cha timu ya
Kawe Tiptop katika picha ya pamoja wakati wa uzinduzi wa mashindano ya
mpinga Cup yaliyofanyika leo katika viwanja vya polisi oyesterbay ,
katikati pichani ni Kamanda wa Polisi Kanda Maalum, Seleman Kova
akifatiwa na Mkuu wa kikosi cha Usalama barabarani SACP. Mohamed Mpinga.
Kikosi
cha timu ya Manzese katika picha ya pamoja wakati wa uzinduzi wa
mashindano ya mpinga Cup yaliyofanyika leo katika viwanja vya polisi
oyesterbay , katikati pichani ni Kanda wa polisi kanda maalumu ya Dar es
Saalam Suleiman Kova akifatiwa na Mkuu wa kikosi cha Usalama barabarani
SACP. Mohamed Mpinga.


Toa Maoni Yako:
0 comments: