Wakianza maandamano kuelekea Feli kwaajili ya kuvuka kwenda Kigamboni. |
Mitaani Posta. |
Hadi kieleweke! |
Tunaimba! Tunavuka bure Tunavuka bure kwenye Pantoni. |
Kova akishangiliwa wakati wa safari kuelekea Feli. |
Kwenye Kona ya feli kuwania geti ili waingie bure! |
Wakajazana kupita kiasdi Kova akazuia kivuko kisiondoke hadi wapungue! |
Hapa wakigoma kupungua kazi iliyochukua zaidi ya Saa moja hadi kivuko kuendelea na kazi ya kuvusha abiria. |
Toa Maoni Yako:
0 comments: