WADAU WA WETU WA MTANDAO WA FULLSHANGWEBLOG TUNAOMBA RADHI KWA USUMBUFU WOTE AMBAO UMETOKEA BAADA YA MTANDAO WETU KUTOKUWA HEWANI KWA SIKU YA PILI SASA KUTOKANA NA MATATIZO YALIYOJITOKEZA.

WATAALAMU WETU WANAENDELEA NA MAREKEBISHO NA WAKATI WOWOTE TUTARUDI HEWANI KUENDELEA NA MAJUKUMU YA KUPASHA HABARI TUNAWAOMBA RADHI WADAU WETU WOTE AMBAO TUMEKUWA TUKISHIRIKIANA NAO TUNAOMBA MUWE NA SUBIRA WAKATI TUNATATUA TATIZO HILO.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: