Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Rais wa Seneti ya Ufaransa Mhe Jean
Pierre Bel, alipotembelea makao makuu yake jijini Paris.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akitoa zawadi Rais wa Seneti ya Ufaransa Mhe
Jean Pierre Bel, alipotembelea makao makuu yake jijini Paris.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na ujumbe wake akiongea na Rais Mstaafu wa
Ufaransa Mhe Valery Giscard d'Estaing na ujumbe wake katika hafla ya
chakula cha usiku alichoandaa Rais huyo Mstaafu ambaye pia ni Mwenyekiti
wa Tanzania Wildlife Foundation jijini Paris.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete katika mazungumzo na Kiongozi wa jumuiya ya
Ismailia duniani HH The Aga Khan alipomtembelea Hotel le Meurice jijini
Paris. PICHA NA IKULU
Toa Maoni Yako:
0 comments: