Taasisi mpya ijulikanayo kwa jina la ITCH DJ ACADEMY Chini ya Dj PQ PETER CHASSAMA na OSCAR KAYANDA inatarajia kunguliwa jijini dar kwa ajili ya kuwafundisha vijana wa lika mbalimbali jinsi ya kutumia vyombo vya kisasa katika tasnia ya udj.

ICHT DJ ACADEMY, ACADEMY YA KWANZA KUFUNGULIWA JIJINI DAR YA KUFUNDISHA KUDJ PROFESSIONALLY, KOZI ZITAKAZOFUNDISHWA NI:-

INTRODUCTION TO THE DJ INDUSTRY: AMBAPO NDANI YAKE KUNA PACKAGE YA KOZI SABA (7) .

1. Set up Machine

2. Mixer Operation

3. Pioneer Operation

4. Basic Mixing

5. Beat Count

6. Beat to Beat mixing

7. Acapella Mixing

NA ADVANCE INTRODUCTION TO THE DJ INDUSTRY: AMBAPO NDANI YAKE KUNA PACKAGE YA KOZI (5).

1. Sound and Level

2. Turntable Operation

3. Perfect mixing

4. Scratching

5. Creative mixing and Techniques

WALIMU WATAKAO FUNDISHA NI DJ PQ, DJ ZERO NA DJ D OMMY. ACADEMY IKO NYUMA YA BEST BITE KARIBU NA NYUMBANI LOUNGE. MAFUNZO YANATEGEMEA KUANZA TAREHE 4 FEB 2013.

KWA MASILIANO ZAIDI JINSI YA KUPATA FOMU ZA KUJIUNGA PIGA

NAMBA 0712 58 08 59

Email : itchdjacademy@gmail.com
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

4 comments:

  1. Nataka kusomea u dj so kama inawezekana niambiwe mnafundisha kwa muda gani na kwa bei gani?!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Nataka kuxomea udj xhiingap na kwa mda gan

      Delete
  2. jamani mm mwenyewe nataka kusomea u dj na mara nyingi nipo mtaani nakua nakodiwa kwenye sherehe kwenda ku mix nyimbo sasa naona bado sio professional nachohitaji ni kujiendeleza zaidi ili nijue baadhi ya mambo ambayo siyajui nahitaja kujifunza zaidi ya pele nilipofikia so nataka kujua ni wapi pana masaada huo na ni ada shiling ngapi na pia kama kuna uwezekano wa kupata ajira hapo itakua bomba zaidi

    ReplyDelete