Sehemu ya zawadi za Valentines na Redds original zikiwa katika maandalizi ya shamrashamra ya kuelekea katika kilele cha sikukuu ya wapendanao ambapo kinywaji cha Redd's kinakupa ofa ya kununua chupa nne na kupata chokleti mbili bure.
Wateja waliofika kujipatia mahitaji yao katika maduka ya Game na Shoppright za Mlimani City jijini Dar es Salaam wakipata maelezo kutoka kwa mhudumu. Katika kipindi hichi ha kuelekea kilele cha sherehe za siku ya wapendanao, bidhaa hiyo inauzwa kwa Tshs. 1,700 pamoja na kupatiwa zawadi ya choklleti mbili bure.
Mteja aliyefika katika maduka ya Game na Shoppright za Mlimani City jijini Dar es Salaam akipata maelezo juu ya bidhaa za Redd's.
Toa Maoni Yako:
0 comments: