Bondia Charles Mashali kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Adam Ngange wakati wa mpambano wao uliofanyika katika ukumb i wa CCM Tandale Dar es salaam jana Mashali alishinda kwa point. |
Bondia Adam Ngange kushoto akioneshana umaili wa kutupiana makonde na Charles Mashali wakati wa mpambano wao uliofanyika kwa mala ya kwanza katika ukumbi wa CCM Tandale Dar es salaam jana. |
Bondia Kalama Nyilawila kushoto akipambana na Athumani Pendeza wakati wa mpambano uliofanyika katika ukumbi wa CCM Tandale Dar es salaam jana Nyilawila alishinda kwa K,O raundi ya tatu. |
Baazi ya wadau wa mchezo wa ngumi wakiwa na mabondia kutoka kushoto ni Kaike Silaju, Nassoro Choro,Selemani Kidunda, Thomas Mashali na Kibavu wakifatilia masumbw. |
Bondia Fadhili Majia kushoto akikwepa konde la Antoni Mathias wakati wa mpambano wao uliofanyika CCM Tandale Dar es salaam jana Majia alishinda kwa K,O raundi ya pili. |
Bondia
Hassan Mandula kushoto akimlushia makonde James Martini wakati wa
mpambano wao uliofanyika jana Mandula alishinda kwa point. Picha na www.superedboxingcoach. |
Toa Maoni Yako:
0 comments: