Mwenyekiti wa Chadema Taifa Mh
Freeman Mbowe (wa tatu kulia) akibadilisha mawazo na Mbunge wa Jimbo la
Arusha Mh Godbless Lema ndani ya mahamaka kuu Kanda ya Dar Es Salaam
mara baada ya kushinda kesi yake ya rufaa ya kupinga ubunge wake
iliyofunguliwa na makada wa tatu wa CCM. Wa pili kushoto ni Mbunge wa
Jimbo la Arumeru Mh Joshua Nassari
Mawakili wakiwa kwenye viti vyao
Hawa ndiyo waliokuwa wamefungua kesi dhidi ya Lema
Mahakamani, Lissu, Nassari, Mwenyekiti Mbowe na Kilewo wakiteta na mke wa Lema
Lema akianza kutoa hotuba fupi baada ya kutoka mahakamani (kulia) ni Joshua Nassari
Vitalisi Kimomogoro, wakili wa Lema.huyu ndiye amekuwa na kesi hii tangu mwanzo
Tundu Lisu, mtetezi wa Lema aliingia baada ya kesi kufika mahakama ya rufaa ameshangiliwa sana.
Askari wakisindikiza msafara wa wafuasi wa CHADEMA wakielekea makao makuu ya chama
Hapa Lema akiwa na Kilewo wakati wa maandamano ya kutoka mahakamani kuelekea makao makuu ya chadema.
Toa Maoni Yako:
0 comments: