Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimsalimia, Hamid Ameir Ali, ambaye ni Waziri Mstaafu na Mjumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, wakati alipofika kumjulia hali katika Hospitali ya Mnazi Mmoja mjni Zanzibar jana Desemba 20, 2012, alikolazwa kutokana na kusumbuliwa na maradhi ya malaria na Kifua. Picha kwa hisani ya OMR
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: