Wanamuziki wa bendi ya African Stars wakifanya vitu vyao katika Jukwaa la Tusker Canival kwenye viwanja vya Leaders Kinondoni jijini Dar es salaam likiwa ni onesho la Utangulizi kabla ya mwanamuziki nguli wa muziki wa kiafrika Kofii Olomide ambaye anatarajiwa kupanda jukwaani muda mfupi ujao ili kuwapa burudani mashabiki wake ambao wamefurika katika viwanja hivi , ili waweze kushuhudia shughuli pevu ya mwanamuziki huyo jukwaani. 
Twanga Pepeta ni raha tupu katika jukwaa la Tusker Carnival kama wanavyoonekana hapo jukwaani wakiwajibika vilivyo.Hachezi mpira wa miguu ila yuko katika kuburudisha mashabiki wake yote ikiwa ni burudani.
Mboni Masimba wa kipindi cha Mboni Show kinachorushwa na EATV akiwa na wageni wengine waalikwa katika jukwaa maalum katika onesho la Mwanamuziki Kofii Olomide linalofanyika usiku huu kwenye viwanja vya Leaders jijini Dar es salaam
Kutoka kushoto ni Azda Amani kutoka SBL, Caroline Owenya na Antonina Kongoro wakipozi kwa picha.
Kutoka kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa SBL Bw. Steve Gannon, Anitha Msangi Maurice Njowoka, Agness Kiondo, Ada Amani na Nandi Mwiyombela wakipozi kwa picha.
Mkurugenzi wa Prime Time Promotion Juhayna Kusaga kulia akiwa katika picha ya pamoja na marafiki zake katika onesho hilo.
Wafanyakazi wa kampuni ya bia ya Serengeti wakijimwaga kwa kuserebuka na muziki uliokuwa ukitumbuizwa na mwanamuziki Kofii Olomide.
Wafanyakazi wa kampuni ya ndege ya Fastjet wakiwa katika onesho hilo , kutoka kushoto ni Geraldine Duwe Mkuu wa Utawala ,Prisca Simon Kitengo cha Mahusiano kwa wateja na Gladness Nahutwa Mkuu wa Mkuu wa masoko Mtandaoni.
Mkurugenzi wa Masoko wa kampuni ya bia ya Serengeti Ephraim Mafuru wa pili kutoka kushoto na Mdau Teddy Mapunda watatu kutoka kushoto wakipozi kwa picha na wafanyakazi wa kampuni ya bia ya Serengeti.
Wanamuziki wa bendi ya Diamond Misica wakifanya vitu vyao jukwaani kama wanavyoonekana.
Kutoka kulia ni Azda Amani, Agness Kiondo, Maurice Njowoka, mdau Teddy Mapunda na Caroline Owenya wakipozi kwa picha ya pamoja.
Mkurugenzi wa Masoko wa kampuni ya bia ya Serengeti Ephraim Mafuru akiwa katika picha ya pamoja na mdau Teddy Mapunda katika onesho hilo.
Kutoka kulia ni Agness Kiondo, Caroline Owenya,Azada Amani na Antonina Kongoro wakipozi kwa picha
.
 
Mmoja wa wanenguaji mahiri wa bendi ya Mapacha Watatu Salma Mjukuu akifanya vitu vyake jukwaani wakati bendi hiyo ilipokuwa iifanya onesho la utangulizi kabla ya mwanamuziki Kofii Olomide kupanda jukwaani kwenye viwanja vya Leaders Jijini Dar es salaam usiku huu ambapo mashabiki wanamziki kumiminika katika viwanja hivyo ili kushumshuhudia Gwiji huyo wa muziki Afrika.

Wanenguaji wa bendi ya Mapacha watatu wakio0nyesha uwezo wao katika jukwaa moja na mwanauziki Kofii Olomide hii ni nafasi nzuri kwa bendi hiyo kuonyesha kiwango chake katika muziki wa Tanzania katikati ni Jose Mara mmoja wa viongozi wa bendi hiyo
Hapa ni burudani kwa kwenda mbele kutoka Mapacha Watatu.
Kaazi kwelikweli.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: