Mpiga Picha Mkuu wa gazeti la Tanzania Daima, Joseph Senga leo Desemba 1, 2012 ameamua kuachana na Ukapera rasmi na kufunga pingu za maisha na mke wake, Fridah Mockray. Pichani ni wanandoa hao wakiwa Kanisani wakati wa ibada ya ndoa takatifu iliyofanyika katika Kanisa Katoliki Sinza jijini Dar es Salaam jioni hii.
Matron akisaini cheti
Maharusi wakiwa katika picha ya pamoja na wasimamizi wao. 
 Maharusi wakisaini hati za ndoa.
Joseph Senga akisaini cheti.
Maharusi wakikabidhiwa Shahada zao za ndoa.
 Mpiga Picha Mkuu wa gazeti la Tanzania Daima, Joseph Senga akiwa katika pozi na mke wake, Fridah Mockray mara baada ya kufunga ndoa katika Kanisa Katoliki Sinza jijini Dar es Salaam jioni hii.
Mpiga Picha Mkuu wa gazeti la Tanzania Daima, Joseph Senga akipongezwa na mama yake mzazi
Pozi la harusi
Picha ya pamoja
Maharusi wakitoka Kanisani


 (Picha zote na Habari Mseto Blog)
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: