Meneja wa intaneti tigo Bw. Titus Kafuma akionyesha aina ya simu hiyo pamoja na smart card kwa waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa promosheni inayomuezesha mteja kununua smartphone yenye kiwango na hadhi ya hali ya juu aina ya Ascend Y200 kwa bunguzo la hali ya juu ambapo amesema wateja watakao nunua simu hizo watapata furusa ya kujishindia bidhaa za promosheni kutoka tigo na zawadi kubwa katika promosheni hiyo wateja kumi watajishindia safari ya kwenda nchini china katika droo itakayochezeshwa mara tano huku kila droo itatoa washindi wawili katika safari hiyo.
 Meneja wa intaneti tigo Bw;Titus Kafuma akiongea na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa promosheni inayomuezesha mteja kununua smartphone
Afisa mahusiano msaidizi kampuni ya simu ya tigo, Mariamu Mlangwa akifafanua jambo wakati wa uzinduzi wa promosheni hiyo Ilifanyika kwenye ukumbi wa JB Belmont Hoteli jijini Dar es salaam leo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Huwawei, Bruce Zhang akifafanua kuhusiana simu hiyo aina ya Ascend Y200 iliyozinduliwa katka promosheni maalumu chini ya kampuni ya tigo.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: