Wafanyakazi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania wakiongozwa na Meneja wa TRA Mkoa wa Mbeya, Anold Maimu wamefanya usafi maeneo ya Standi kuu ya mabasi mjini Mbeya kuelekea kwenye kilele cha siku ya mlipa kodi.
 Mtazamo wa Mamlaka hiyo ukiwa ni kuwa karibu na walipa kodi kwa kwa kutoa hudumia kwenye jamii na kuamsha moyo wa kujitolea katika huduma za kijamii na kukumbusha umuhimu wa uhiyari wa kulipa kodi bila shuruti!!!!

Habari na Picha kwa hisani ya Image Profession.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: