Kwa jina naitwa  SARAFF, ni mwana HIPHOP mpya wa kibongo ila ninawakilisha kutoka New York. Nataka kutumia fursa hii kuitambulisha nyimbo ya kwanza kwenye album yangu inayokwenda kwa jina la “Next Flight” http://www.youtube.com/watch?v=OA7KYA7OA-U .  Najua kuongea Kiswahili vizuri ila nimeamua kutumia English kwenye nyimbo zangu ili kujitangazisha kimataifa na kitaifa. Album nzima pamoja na video vimetengenezwa chini ya Waya Mkali Production.  Vile vile natoa nyimbo bure kwenye website yangu saraffmusic.com .
Shukrani za dhati,
Saraff.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: