Jeneza lenye mwili wa aliyekuwa msanii wa muziki wa kizazi kipya na filamu Tanzania, Hussein Ramadhani, maarufu Saharo Milionea, likiwasili nyumbani kwao, Lusanga, Muheza mkoani Tanga, wakati wa mazishi
Mzee Kingi Majuto akitupa mchanga kaburini kumzika Sharo Milionea
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akiwa na Rais wa Bongo Movies Simon Mwakifyamba na Ofisa Habari wa Airtel Jackson Mbando
Mwana FA akitoa salam kwa niaba ya Wanamuziki wa Bongofleva, wakati wa mazishi hayo
Baadhi ya wasanii wa muziki wa bongo fleva na filam Tanzania, wakiwa kwenye mazishi ya Sharo milionea
Mkuu wa wilaya ya Muheza, Subra Mgalu akisoma salam za Shirika la Fursa Sawa kwa Wote (EOTF) la Mama  Anna Mkapa, kwenye msiba huo.
Mwili wa Marehemu Sharo Milionea ukiswaliwa mapema mchana huu kabla ya kupelekwa kwenye nyumba yake ya milele 
 Rafiki mkubwa wa marehemu Sharo Milionea, Mzee Majuto akiwa ameshikwa mkono wakielekea kwenye mazishi mapema mchana huu, Muheza mkoani Tanga.
 Wasanii wakiwa mzibani.
 Majonzi yalitanda kila sehemu.
 Wasanii wakiwa eneo la makaburi.
 Wasanii H-Baba na Suma Mnazareth wakiomboleza.
 Wasanii wa bongo movie pamoja wa watu mbali mbali waliofika eneo la tukio wakiomboleza.
  Mazungumzo ya hapa na pale yakiendelea msibani.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

2 comments:

  1. mungu amlaze pema sharo milione,kama kulikua na kitu alificha,ni yeye na mungu wake R I P MILIONEA

    ReplyDelete
  2. mungu amlaze pema sharo milione,kama kulikua na kitu alificha,ni yeye na mungu wake R I P MILIONEA

    ReplyDelete