Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikagua shamba la mfano la kilimo cjha zabibu la  SACCOS ya kijiji cha Chilangali two wilayani ambalo hutumia umwagiliaji wa matone Chamwino Mkoani Dodoma leo Novemba 15, 2012 akiwa ameongozana na Mkuu wa Wilaya ya Chamwino Mhe  Fatma Saidi na Mbunge wa Mtera Mhe. Lusinde.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete waakikagua shamba la kilimo cha Zabibu la SACCOS ya kijiji cha Chilangali two wilayani ambalo hutumia umwagiliaji wa matone Chamwino Mkoani Dodoma leo Novemba 15, 2012

PICHA NA IKULU
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: