![]() |
| Shabiki wa simba na hisia zake usoni |
![]() |
| Shabiki wa Yanga, akifikisha ujumbe kupitia kofia yake ya aina ya kipekee |
![]() |
| Shabiki wa Yanga, akiitaja timu yake kwenye paji la uso |
| Bango likipeleka ujumbe TFF, ambapo katibu mkuu wake, Angetile Oseah amejikuta lawamani. Hii ni mara ya kwanza kwa kiongozi wa TFF kuandikwa kwenye bango kubwa kama hili na kupeperushwa uwanjani. |
![]() |
| "Uso wa Mashaka" shabiki wa Yanga, akifuatilia pambano, wakati timu yake ikiwa nyuma kwa bao 1-0 kabla haijakomboa kipindi cha pili, dhidi ya Simba |
| Shabiki wa Simba, aliyejipaka rangi, akipuliza vuvuzela huku akionyesha alama ya vidole vitatu na maandishi Ngasa 3. kabla ya pambano kuanza dhidi ya Yanga Oktoba 3, 2012. |






Toa Maoni Yako:
0 comments: