Bw James Buchard Rugemalira akitoa utangulizi na Utambulisho kwa
waalikwa kabla ya kumkaribisha akimkaribisha Mwashamu Baba Askofu
Nestory Timanywa.
Kutoka kushoto ni mmoja kati ya washauri wa mradi Bw. Kamala,
katikati ni muasisi wa chama cha mapinduzi mzee Pius Ngeze na Bw. Ngaiza.
Akiongea kwa hisia Mwashamu Baba Askofu Nestory Timanywa ameanza kwa
historia ya makasa ,Baba askofu Timanywa amesema tangu mwaka 1910 Bunena
limekua kanisa kuu la Jimbo.pia amegusia makanisa ya kashozi, Rubya,
Mugana, Kagondo na Katoke.
Misa ikiendelea, kama wanavyo onekana Bw.na Bi James Rugemarila, pia mkuu wa mkoa na Aakofu Samsoni Mshema.
Kabla
ya Kubariki uzinduzi wa wazo , ilitangulia misa iliyoandaliwa na
Familia ya Mzee Rugemarila kwa ajili ya shukrani ya kumbukumbu ya
marehemu Mama YAO, Ma Auleria Kobulungo Muganda. Misa ikiongozwa na Mwashamu Askofu Kilaini. Picha kwa hisani ya BukobaWadau Blog.
Toa Maoni Yako:
0 comments: